LYRICS: Jux Ft D Voice – Ex Wa Nani

LYRICS: Jux Ft D Voice – Ex Wa Nani

Jux Ft D Voice – Ex Wa Nani Lyrics

 

Verse: Jux
Nyie Asiyefaa Amefaaa
Kweli Mtu Sio Mbwa
Asa hivi Anang’aa Kama Chokaa
Nyie Mungu Anajuwa Kuumba
Kama Ulimuacha Kisa Amechakaa
Kwangu Kaja Mbona Ameng’ara
Kama Ulimuacha Kisa Amefubaa
Kwangu Kaja Anang’arang’araa

Chorus
Sijui Na Date Na Ex Wanani Lakini Na Mpenda
Sijui Na Date Na Ex Wa Nani Ila Kwangu Ndio Ma Every Thing aaaaa

Oooooh My Everything
Aaaaah My Every thing
Oooooh My Everthing
Aaaaah My Everything

Verse: D Voice
Alitupa, utumbo Wenzake Tukaliaa Ndizi
Kasusa Siye twala
Sina Pupa, Anavyonipa Mi Vinanikidhi
Wala Sina papala
Kwanza Nampa pole Aliyeachana nae
Mana nishaanza Kufanana nae
Tena Kokote Mi natamba nae
Atandike jamvi Chini akae

Chorus
Sijui Na Date Na Ex Wanani Lakini Na Mpenda
Sijui Na Date Na Ex Wa Nani Ila Kwangu Ndio Ma Every Thing aaaaa

Oooooh My Everything
Aaaaah My Every thing
Oooooh My Everthing
Aaaaah My Everything

Outro:
Anaitwa Meneja Swagg Daddy Ray
Sikia Kituu Hikoo

Aya sasa Kulwa Anatoka
Doto Anaingia
Mwenyewe Kashoboka
Kaning’aninia
Kulwa Anatoka
Doto Anaingia
Mwenyewe Kashoboka
Kaning’aninia Mama
Kaulamba huyo Kaulamba Huyo
Kaulamba Utamu Wa bakhresa
Kaulamba huyo Kaulamba Huyo
Kaulamba utamu wa bakhresa
Kaulamba huyo Kaulamba Huyo
Kaulamba utamu wa bakhresa
Kaulamba huyo Kaulamba Huyo
Kaulamba utamu wa bakhresa

Kanivuraga kafanya Nimepagawa
Nilivyoona Bonge La chura Nikachachawa
Oya Chura (Ananesa Nesa)
Chura (Anaruka Ruka)
Chura (Ananesa Nesa)
Oya Chura (Anaruka Ruka)
Oya Huku Na Huku Kwenye Vibe Wapi (huku)
Likipigwa Hili goma Tunaenda Wapi
Huku Na Huku Kwenye Vibe Wapi (huku)
Likipigwa Hili goma Tunaenda Wapi
Aya sasa Tunaenda (huku)
Tunarudi (huku)
Tunaenda (huku)
Tunarudi (huku)