LYRICS: Malkia Karen – Mama Mkwe
Mama Mkwe Lyrics
Ashukuriwe Mungu
kwa zawadi ya uhai
Tunasherekea
hakuna anayetudai
Na mliotabiri Hayawi
ngoja niwasabahi..
Ndoa inanisitiri
Haki ya Mungu Wallah..
Ooh Mama.. mzaa chema
umetisha wewe Ehh
Kama Sio Juhudi zako
Ningempata wapi
huyu my bebe? aah aaiyaah
Ooh Mamaa.. mzaa chema
umetisha wewe
Kama sio malezi yako
Ningemtolea wapu
huyu my bebe?? ooh ooh!
Wewe Mama Mkwe!
umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Allahamdullilah tumevalishana pete
Baridi la ubachela hali ilikua tete
Mkwe umenikabidhi mwanao
Aje anitetee
niachane na Upweke
we ndo kabari yao
Ooh Mama.. mzaa chema
umetisha wewe Ehh
Kama Sio Juhudi zako
Ningempata wapi
huyu my bebe? aah aaiyaah
Ooh Mamaa.. mzaa chema
umetisha wewe
Kama sio malezi yako
Ningemtolea wapu
huyu my bebe?? ooh ooh!
Wewe Mama Mkwe!
umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha
Wewe Mama Mkwe!
umenizalia furaha
Mwanao ananinogesha kwa raha.