LYRICS: Diamond Platnumz Ft Bien – Katam

LYRICS: Diamond Platnumz Ft Bien – Katam

Diamond Platnumz Ft Bien – Katam Lyrics

Wimbo huu wimbo huu jejee
Joto lije ntampepea
Ntakutunza ntakutetea
Wanune wavimbe I don’t care
Hawajui unachonipea
Mpaka napagawa
Na sio mambo ya dawa
We mtamu mwaya
Na haunaga show mbaya

Ukinigusa tu nalegea mwili wote te te te
Yan siwezi hata kutembea kama mtoto tete tete tete
Ayaya

Na nyuma ni Muganda
Shepu ya Kitanga
Ngozi ya Kirundi
Sura ya Kinyarwanda
Nywele ya Kisomali
Macho ya Ethiopia
Utamu Tanzania
Akili ni ya Kenya

Yule anaepinga asimame
Anaepinga asimame
Sema ukweli wako

Mi hapa (Katam tam)
Katoto kangu jama (Katam tam)
Kashunu shunu bwana (Katam tam)
Ni mzuri wewe (Katam tam)
Umeumbika mwaya (Katam tam)
Ayoyoyoyo

Kisura chake (Katam tam)
Ona umbo (Katam)

I know the bubble sorrow
Lakini umenivumilia
Mahaba nayasikia mama
Nakupa mia kwa mia
Baby you don know
Vile umenishikilia
Ukanikinga watu mia mama
Sjui nikupe nini dear

Nafufua wahenga
Waandike nyimbo tamu na mashairi
Mtu asijetenga
Ushaandikwa duniani na mbinguni
Mchuzi we ndo flavour
Imebidi niite Mondy aje tujadili
Nkatuma mshenga
Hadi kwenye East Africa Mashariki

Na nyuma ni Muganda
Shepu ni ya Kitanga
Ngozi ya Kirundi
Sura ya Kigali
Nywele ya Kisomali
Macho ya
Forehead ni ya Kenya
Tabasam la Dubai